Tag Archives: kuoa mume mwenzako

Barua ya kirafiki kwa mashoga

Post Views = 6112MASHOGA WAPENDWA, Pokeeni salamu furifuri kama mchanga wa bahari kutoka hapa kwangu.Mie ni buheri wa afya. Hofu na mashaka ni kwenu iwapo mu wazima au mmelingwa mawe na kufariki papo hapo kama Stephano wa bibilia. Natumai mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku,mathalani kuwafungua wenzenu “ boot” ,kuvalia long’i zilizowabana na mengine mfanyayo tusiyoyajua ambayo ni …

Read More »