Swahili

Dunia uwanja wa fujo I

Post Views = 4972Hakika dunia ni uwanja wa fujo lakini kila binadamu ameumbwa ili aufaidi kiasi cha awezavyo. Basi nasadiki kuwa kila mtu ameumbwa duniani afanye fujo kisha ajiondokee. Lakini je kuna uwezekano kuwa nimeshindwa kutimiza fujo yangu kabla nijiondokee? Kamwe sitasahau fujo niliyo kumbana nayo katika ule msimu wa hangaiko la kutafuta pesa ya karo. Jalali hakika shukura zangu …

Read More »

Mlo si mlo

Post Views = 1520Siku ya Jumapili huwa ni siku ya kujivinjari hapa na pale na marafiki, kuwa na matemebezi kiasi na kufurahia maisha. Na hii Jumapili nlikuwa nimeenda kumtembelea rafiki yangu mmoja jijini. Kwa kawaida mazingira ya jiji huwa ni mazuri. Wikendi huwa tulivu na nyuso huwa zina furaha. Watu wanapumzika huku wakila raha pole pole bila fikira sumbua. Hamna …

Read More »