Swahili

Uchawi wa Mombasani

Post Views = 4464 Niliamka asubuhi mbichi kwa mshtuko ! Kufungua macho nikakaribiswa na magome na majabali ya ufuo wa bahari. Nilikuwa uchi wa mnyama sawia na nilivyotoka tumboni mwa mamangu. Mng’aro wa jua ulikuwa ukiacha vimulimuli kwenye mawimbi mapevu ya bahiri Hindi.      Hali ya mkanganyiko ilinifika. Maswali lukuki yalipishana ubongoni mwangu bila majibu, sikujua nianzie na wapi …

Read More »

SIMU YA KIFO

Post Views = 3866Ilikuwa jumamosi ya aina yake nikiwa kwenye mikiki mikiki ya wikendi. Matanuzi ndio mpango niliokuwa nao nikiwa pamoja na mrembo wangu Amina.Pesa haikuwa gharama kwangu,ama kweli pesa dhahabu, ukiwa na pesa unaweza anzisha hata dini. Tayari nilikuwa nimekodi chumba cha malazi na kulipia orodha ya vitu ambavyo tungehitaji pale hotelini. Hoteli yenyewe iliitwa Atlantic na ilikuwa mkabala …

Read More »

Pigia shoga wa mzangila simu.

Post Views = 1373Ni wikendi hapa kwa Mzangila.com.Kama kawaida,kina dada wameenda shughuli za hapa na kule.Kina dada wa Mzangila(Robertina,dada Mary,Charity na wenu wa ubani hapa) tumestarehe kwenye visehemu vya kupokea simu.Visehemu hivi vimegawanywa na vioo na tukiwa ndani Mzangila hatuoni ngo! Mzangila yumo afisini mwake,bila shaka anakaguakagua mafaili huku akinywa whisky yake(anapenda anasa sana kaka huyu).Falsafa yake ya maisha ni …

Read More »

Bibi Harusi Mtarajiwa Mtajika

Post Views = 3201Ama kweli wa kusema husema,kwangu mimi kama kuna jambo ambalo naishi nikiota usiku na mchana ni kufanya harusi.Nina ari ya kuvalia nguo nyeupe pe kama theluji,kutengeneza nywele zangu na kuvaa viatu vya visigino virefu huku nikijishaua kwa maringo na mwendo wa polepole kama bibi harusi. Ili kuonyesha haja yangu ya kufanya harusi niliamua kuwaalika wageni katika harusi …

Read More »

Barua ya kirafiki kwa mashoga

Post Views = 6235MASHOGA WAPENDWA, Pokeeni salamu furifuri kama mchanga wa bahari kutoka hapa kwangu.Mie ni buheri wa afya. Hofu na mashaka ni kwenu iwapo mu wazima au mmelingwa mawe na kufariki papo hapo kama Stephano wa bibilia. Natumai mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku,mathalani kuwafungua wenzenu “ boot” ,kuvalia long’i zilizowabana na mengine mfanyayo tusiyoyajua ambayo ni …

Read More »

Kiswahili kitukuzwe

Post Views = 5571Ni Ijumaa iliyo jaa mambo na vijimambo tumbi nzima. Lakini ningependa uniazime dakika chache tu nikudokezee jambo. Si msururu wa mambo. Jambo moja tu nipe lako skio. Nasikitika kuona Kiswahili twakiua polepole. Tangu tujue kuporomosha King’eng’e basi hakitukoki mdomoni! Si shuleni si kazini hadi kwetu nyumbani tumeitukuza sana lugha ngeni.Tumesahau king’eng’e kilikuja na mbepari na chetu Kiswahili …

Read More »